tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post149130783185680199..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: KUKOROMA HUSABABISHWA NA NINI?EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-13142857926493416052010-03-21T09:19:08.885+01:002010-03-21T09:19:08.885+01:00Kukoroma husababishwa na mambo mengi kwa hiyo kam...Kukoroma husababishwa na mambo mengi kwa hiyo kama hujui kukoroma kwake kunasababishwa na nini sikushauri uende tu duka la dawa kununua dawa.

Kumbuka wengine sababu ya kukoroma ni kwamba ni matipwatipwa aka wanene. Kwa hiyo kama kukoroma kwako ni kule kusababishwako na UNENE hata ununuliwe dawa gani kama hupunguzi unene kukoroma kutakuwa palepaele.

Na kukoroma kwingine dawa yake ni kukwepa kulala chali au kifudifufi na kulalia upande ili kuepusha ulimi kuziba koo. Lakini kumbuka mara nyingi akoromaye hajisikii kwa hiyo ni vigumu kumfanya alale kinamna fulani hasa kama sio yule mpenzi msheaye naye kitanda.

Na kumbuka kukoroma kunaweza kuwa ni dalili tu ya kuwa mtu anaugonjwa fulani ambao huo ndio uhitajio tiba kwa hiyo ushauri wangu mtu amwone dakitari na sio tu kukimbilia dawa kwa kuwa unaweza kukuta unakimbilia kutibu dalili na kuacha ugonjwa.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-47088700733134421222010-03-19T11:30:06.027+01:002010-03-19T11:30:06.027+01:00Nilishawahi kukaa chumba kimoja chuo na bwana mmoj...Nilishawahi kukaa chumba kimoja chuo na bwana mmoja mkoromaji. Aisee!

Ulikuwa ni mwaka mwaka mmoja wa mateso. Lakini baade tulikuja kubaini kwamba dawa nzuri na ya kuaminika ni kuchukuliana naye.

Sasa sijui kama hiyo yaweza kutafsirika kama dawa kwako dada Edna? Mkubali, halafu utashangaa kukoroma huko kutakuwa burudani fulani ya kukuchekesha na sio kukera.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-88419537605765507462010-03-19T10:40:03.345+01:002010-03-19T10:40:03.345+01:00Edna, sina hakika kama kuna dawa labda ughaibuni. ...Edna, sina hakika kama kuna dawa labda ughaibuni. Lakini ninachojua ni kuwa huwa kuna misuli fulani imelegea na hivo inabidi ikazaawe kwa mazoezi ambayo hayahitaji dawa za dukani.

Hebu soma hapa na mjaribu kabla ya kununua dawa.

Okey!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-5237997994356186022010-03-18T22:36:17.258+01:002010-03-18T22:36:17.258+01:00asante da Yasinta nitaenda uliza.asante da Yasinta nitaenda uliza.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-2310086251199480512010-03-18T21:47:10.298+01:002010-03-18T21:47:10.298+01:00Edna! nimewahi kusikia kuna dawa kwenye duka la ma...Edna! nimewahi kusikia kuna dawa kwenye duka la madawa nenda tu kaulizia ila samahani jina nimelisahau. Pole sana maana hii inakorofisha sana usingizi.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com