tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post2279410077058790350..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: Little Girl Is Upset With The Way Toys Are Marketed...Check this out i bet you gonna love it.EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-58093317330345580732011-12-28T16:58:00.963+01:002011-12-28T16:58:00.963+01:00Sijaona video, kwani sinazo GIG za kutosha ili nia...Sijaona video, kwani sinazo GIG za kutosha ili niangalie. Lakini kama ujumbe wa msichana ni kama ulivyoelezea, wewe Mwandishi- mwenzangu. basi huyo ni mtoto kweli!

Na tumpe hongera kwa kuwaza isi-kama kawaida lakini sahihi kabisa!

Kusema ukweli hamna tofauti katika mtoto wa kiume kwa wa kike. Wote ni wa tundu sawasawa. Na wote ni watoto tu sawasawa kwa wazazi wao.

Hayo mambo ya mirangi kadhaa kwa wakike ni upotoshi mtupu ili watoto wakike wajielewe hapo baadaye kama wao hawana akili ya kutosha na ni ni kama wa tu hata mbele za waume zao hapo baadaye ukubwani!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com