tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post2461604231881787645..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: Mshukiwa wa Al-Shabab ajeruhiwa DenmarkEDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-81052467459647273852010-01-04T08:31:43.194+01:002010-01-04T08:31:43.194+01:00Imani zingine bwana, bora kkukua kiroho. wanauana ...Imani zingine bwana, bora kkukua kiroho. wanauana kulinda imani ambazo hata waanzilishi wake hawazitamani tena

labda ni kuppoteza matumaini maishani wakuukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-79675319465085227042010-01-03T05:10:51.842+01:002010-01-03T05:10:51.842+01:00Najua Da Edna.
Ndio maana naamini THE WAY YOU SEE ...Najua Da Edna.
Ndio maana naamini THE WAY YOU SEE THE PROBLEM IS THE PROBLEMMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-54572561650748629802010-01-02T21:15:43.477+01:002010-01-02T21:15:43.477+01:00Mzee wa Changamoto kumbuka kuwa binadamu tumetofau...Mzee wa Changamoto kumbuka kuwa binadamu tumetofautiana kifikra unaloliona wewe ni heri mwingine analitazama katika mtazamo tofauti.Wengine hawahujui kama kuna kitu kinaitwa kusamehe.
Dada YASINTA nimepokea salam zako, nami nakukaribisha kwa Moyo Mkunjufu.
Amani ya Bwana Yesu iwe nanyiEDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-74110072545759146732010-01-02T15:56:38.763+01:002010-01-02T15:56:38.763+01:00Nimepita kukusalimia nimekuona sehemu karibu sana....Nimepita kukusalimia nimekuona sehemu karibu sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-25442464357262176422010-01-02T15:38:58.109+01:002010-01-02T15:38:58.109+01:00Sijawahi kufanya kejeli na imani ya mtu na nadhani...Sijawahi kufanya kejeli na imani ya mtu na nadhani mchoraji alipaswa kuwa makini alipochora ile katuni.
Hata hivyo siamini kama fedheha ya katuni inaweza kumtuma mtu kumuua mchoraji kwa kisingizio cha kusimamia imani.
Imani inasisitiza KUSAMEHE.Na hapo ndipo kilipo KIPIMO na UGUMU wake. Kuwa tunapokwazwa twahitaji kusamehe na unavyoweza KUSAMEHE unapokwazwa na kubwa zaidi ndivyo unavyohidhihirisha ukomavu wako kiimani.
Kwa hiyo kwa mtazamo wa imani HATUTAKIWI KULIPIZA KISASI kwani kwa namna tunavyoweza kuwasamehe, kuwavumilia na kuwaombea watukwazao, ndivyo tunavyojengeka kiIMANI.
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com