tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post3415500201369378100..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: ADAM LUSEKELO IS NO MORE.EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-91624030233205630562011-04-02T16:59:33.502+02:002011-04-02T16:59:33.502+02:00Asante sana kwa kututaarifu. Tunawaombea familia ...Asante sana kwa kututaarifu. Tunawaombea familia yake, ndugu wote na jamaa, pia Watanzania wote MPATE FARAJA YA KUKUMBUKA MUNGU NDIYE MWENYEMIPANGO YOTE YETU BINADAMU MOJA MOJA TUKIWA BADO HAI HATA TUKIFA.

Katika Blog ya mwenzetu yenye jina la "SAUTI YA BARAGUMU" (John Mwaipopo) tulichambua kidogo mchango wa kalamu yake (http://mwaipopo.blogspot.com/2011/03/dowans-wants-to-negotiate-huwa-napenda.html).

Nasikitika kwamba wasiwasi na mashaka yetu sasa yataongezeka zaidi kwamba "je maandishi ya Adam Lusekelo yataingia lini (tena kivipi) katika vitabu?

Hiyo basi itakuwa changamoto kwa waandishi wengine, labda waanzishe "The Lusekelo Foundation" kwa kusaidiana na familia yake kusudi hazina yaAfrika kutokana na michango yake isutupotelee.

Kwa upande wangu nitarudia (PARAPHRASE) mchango wangu siku hiyo ya mjadala katika kibaraza cha "SAUTI YA BARAGUMU":

Rest in peace, African Brother
Son of Mother Earth Lusekelo Adam
Often the literary enigma
Frequently the mystery for motive
Yet the phenomenon without question
Galactic were the proportions!

How one crater
Complete with nuclear fission
Had its fathering meteor
come flying over Mount Kilimanjaro
Burrowing in and out
The Gorge ancient Oldvai
A human skull only to inhabit
Many and me still baffles.

You are dead today but tell you I
That fire of love shall never die
Thou started it so ride on it!
Your chariot of fire to heaven!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-21062050180849469062011-04-02T12:48:07.130+02:002011-04-02T12:48:07.130+02:00Mungu amlaze mahala pema peponi jemedari wetu, ali...Mungu amlaze mahala pema peponi jemedari wetu, alikuwa mpiganaji mzuri, lakini ndio hivyo, kila kiumbe kitaonja umauti!Kilichabakia ni kimuombea heriemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-45132149294959079592011-04-02T11:44:25.000+02:002011-04-02T11:44:25.000+02:00Pumzika kwa amani Adam!Pumzika kwa amani Adam!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com