tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post4643514183100074581..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: Soda Increases Risk Of Cancer!EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-2790244650571660952010-02-13T12:12:29.308+01:002010-02-13T12:12:29.308+01:00afadhali sasa kuanza kunywa TOGWA atleast sijawahi...afadhali sasa kuanza kunywa TOGWA atleast sijawahi kusikia kuwa togwa ni mbaya....lolo'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-43585352623134896372010-02-12T22:26:08.637+01:002010-02-12T22:26:08.637+01:00Ukiwasikiliza vizuri wanasayansi na tafiti zao una...Ukiwasikiliza vizuri wanasayansi na tafiti zao unaweza ukashindwa kuishi kwani inayoonekana karibu kila kitu kinasababisha kansa, shinikizo la damu na magonjwa mengine. Mimi huwa wananichangaya pale wanapotoa sababu zinazokinzana. Leo watasema kahawa inaongeza shinikizo la damu na upataji wa aina fulani za saratani, na kesho tena kahawa hiyo hiyo itaonekana kuzuia kansa fulani na hata dementia. Bia utaambiwa zinaleta kansa ya matumbo na wakati huo huo zinazuia baadhi ya kansa. Wine inazuia kansa na kushusha shinikizo la damu lakini pia inaongeza upataji wa kansa ya matiti kwa akina mama....Mbaya zaidi, huwa hawasemi nini cha kufanya wakati mambo yanapogongana namna hii. Mimi huwa nawasikiliza kwenye vitu ambavyo vimejulikana havina faida kabisa kabisa kama sigara. Vinginevyo utashindwa kuishi au pengine itabidi kula asali na nzige tu kama Yohana Mbatizaji!

Hata ukiacha kunywa soda, bado kuna vyakula na vinywaji vingi sana vinayoweza kukuua.

Pengine hili limefumwa katika falsafa yangu ya maisha. Kwani maisha hasa ni nini jamani? Hata ukiongeza miaka miwili katika maisha yako kwa kuacha kunywa soda (japo pengine hili ndilo jambo likupalo furaha katika maisha yako) itakusaidia nini?

Tembelea blogu ya http://kona-ya-afya.blogspot.com/ uone ninachokisema hapa. Karibu kila kitu kinakatazwa!

Mimi ninakunywa soda mara moja moja!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-47415340075758946602010-02-12T09:50:04.090+01:002010-02-12T09:50:04.090+01:00Hongera kama si mnywaji wa soda Da Yasinta,maana m...Hongera kama si mnywaji wa soda Da Yasinta,maana mimi nakunywa kama chai lakini baada ya habari hii naacha kabisa.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-83714729415639297952010-02-11T20:28:57.455+01:002010-02-11T20:28:57.455+01:00Nshukuru silazimiki kuacha kunywa soda kwani situm...Nshukuru silazimiki kuacha kunywa soda kwani situmii kabisa. Pia Edna asante kwa habari hii .Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com