tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post5301832746370555002..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: Obama asaini sheria ya mashoga jeshiniEDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-1300444887902725502010-12-23T20:57:59.709+01:002010-12-23T20:57:59.709+01:00Watu weweeeeeeee! sisemi sana.Watu weweeeeeeee! sisemi sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-86850398992939058982010-12-23T19:20:56.815+01:002010-12-23T19:20:56.815+01:00Duh! kama Bongo ingepitishwa sheria hii wazi huend...Duh! kama Bongo ingepitishwa sheria hii wazi huenda tungeona baadhi ya viongozi ni mashoga.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-4336073117696055342010-12-23T15:39:20.295+01:002010-12-23T15:39:20.295+01:00Kuna mambo mengine nafikiri ni matatizo ya nchi zi...Kuna mambo mengine nafikiri ni matatizo ya nchi zilizoendelea ukizingatia Tanzania bado hata uhakika wa mlo tukiachilia mbali yale ya LAKSHARI kama ya UMEME viongozi wetu wanashindwa kuyashughulikia!<br /><br /><br />Na tukumbuke kuwa labda kwakuwa KISWAHILI ndio baadhi ya lugha chache ziwezazo mpaka kuainisha mpaka aina ya usenge kwa kutambua kuna BASHA na MSENGE- basi labda inamaana labda haya mambo yako tu kwa wingi katika jamii izungumzayo kiswahili na tamaduni ingeruhusu ungeweza kukuta tunawanajeshi na VIONGOZI lukuki ambao kama sio mabasha basi ni WASENGE -tukiachilia mbali WASAGAJI - kwa vitendo vyao vya kushughulikia wenzao wenye jinsia kama yao kiasherati.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com