tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post5598128432340493440..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: UTAFITI : WANAWAKE WA AFRIKA WANAZIDI KUWA WAFUPI…!!!EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-57430724905134276052011-05-06T18:30:11.322+02:002011-05-06T18:30:11.322+02:00Mvutio wa neno la Kiingereza "petite" (y...Mvutio wa neno la Kiingereza "petite" (yaani "dogodogo") umekwenda wapi huko Uzunguni?

Mimi nafikiri: kinyume na mawazo ya hao watafiti, wanawake wa Kiafrika watazidi kuvutia ulimwenguni kote nasi tutapata mashemeji na wapwa kibao kutoka Ulaya, Asia, Amerika...

... au nimeipoteza pointi, Jamaani?

Kwamfano, sikuona nchi ya Afrika Kusini katika orodha ya watajwa, lakini nchi Ufalme wa Swaziland nimeyiona. Sasa niwaambieni cha kuwashangaza: HAMNA WANAWAKE WANAOSIFIWA KUOLEWA NA WANAUME WA-AFRIKA KUSINI KULIKO WA HUKO SWAZILAND NA NAULIZWA KILA SIKU ETI NILIMPATAPATAJE MKE WANGU WAPILI KUTOKA HUKO MBABANE?...leo nahisi nimepata jawabu!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com