tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post7640975922329992011..comments2023-11-02T13:20:38.871+01:00Comments on STRIVE FOR LIFE: MISHEMISHE ZA CHRISMAS KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.EDNAhttp://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-75109694735520089402010-12-23T10:43:33.114+01:002010-12-23T10:43:33.114+01:00Huu ni mtaa ambao ninaweza kusema serikali imeshin...Huu ni mtaa ambao ninaweza kusema serikali imeshindwa kuuzibiti. Unakumbuka kuna kipindi waliwekwa hata maaskari kulipalinda ili watu kama hawo matepeli na wafanya biashara waslioingilia hapo waondoke, ilikuwa kama nguvu ya soda, na kila soda ikiisha povu wanarudi. Kila mmoja (wengi) wana historia ya kutapeliwa hapo...<br /> Na sasa hivii sio mtaa wa kongo tu, sehemu nyingi za Kariakoo hata barabarani watu wa namna hiyo wanapanga vitu vyao,nguo vyakula nk, ukinunua umeliwa...na cha aabu askari wa jiji wapo wao wansubiri watu hawa wajazane wapange biashara zao mwisho wa siku ile pofu ya soda ikilipuka tena ndio utawaona wanavyowapiga watu hawo kuwanyang'anya vitu vyao nk!<br /> Uchaguzi umeisha...sasa sijui tusikilize! ...bado kuna aibu aibu ya kuwavamia hawa watu, siunajua tean ndio waliotoa kura, sasa ...ok tusubirieemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-5212544397564790842010-12-23T03:01:14.725+01:002010-12-23T03:01:14.725+01:00Hapo kuna mambo! Nasikia pia kuna WAFANYA BIASHARA...Hapo kuna mambo! Nasikia pia kuna WAFANYA BIASHARA wenye maswala ya kichawichawi sana pia hapo !Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3690682379612450265.post-58121757318912132802010-12-22T14:18:16.818+01:002010-12-22T14:18:16.818+01:00Hee! kaaazi kwelikweli! Ahsante Edna na kutuhabari...Hee! kaaazi kwelikweli! Ahsante Edna na kutuhabarisha habari hii:-)<br />God jul!!Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com