Pages

Tuesday, 22 February 2011

MAMA MWENYE NYUMBA!


Mapumziko baada ya kupigwa na baridi...Maana ukiwa nje unatamani upae ili ufike nyumbani haraka....LOL.

7 comments:

  1. Mama wa nyumba kwa kweli unastahili hayo mapumziko maana hii baridi ni kali mno nnimeona kesho asubuhi itakuwa (-14). mapumziko mema ndugu yangu:-)

    ReplyDelete
  2. Jamani poleni sana, yaani bado mnacheza na (-14)? Huku kwetu baridi imepungua sana tunacheza na 7 hadi 12.

    Mama mwenye nyumba nimeipenda nyumba yako na wewe mwenyewe umependeza sana.

    Haya kila la heri.

    ReplyDelete
  3. Mama mwenye nyumba haswaaa umepozi mwenyewe!poleni na baridi jamani!.

    ReplyDelete
  4. Nc house looh! naitamani

    ReplyDelete
  5. Umependeza mwanakwetu!

    Tunasubiria watoto sasa - si unajua zetu za waswahili Kigoli akishaolewa?:-(

    ReplyDelete
  6. Da Mija: yaani baridi iliyopo hapa ni balaa.
    @Yasinta,swahili na waswahili,Da Mija na annon Asanteni sana.

    ReplyDelete
  7. @Simon hahaaa watoto watakujabana, tena wengine nitakuletea unisaidie kulea...

    ReplyDelete