MAMA
MIMI

MY SWEET LIL SIS...
Iam so proud of being a woman and having loving and devoted mother,she is such a wonderful woman that i cant even explain....SHE IS MY HERO...
HAPPY WOMEN`S DAY, to all women in the World and All STRIVE FOR LIFE READERS.....
WOMEN ARE GREAT HUMAN BEINGS, WITHOUT WOMEN THERE IS NO WORLD NO HAPPINESS.
TUPENDANE, TUHESHIMIANE NA TUSAIDIANE.
Happy womens day...hureeeeee!
ReplyDeleteEdna mmefanana kweli yaani huwezi kutofautisha. Umenena mwanamke ni muhimu sana kusaidiana, kushirikiana ili kudumisha umoja. wanawake Oyeeeee!!! ila pia tusiwasahau akina baba nanyi mnapewa nafasi kwa siku hii.
ReplyDeleteHongereni wajameni! Halafu wanawake nyie yani ni wazuri jamani!
ReplyDeleteIngekuwa nishai kweli kama DUNIANI kungejaa MIDUME tu!:-)
Tunasubiri vitendo jamani. Kila mwaka tunawapongeza lakini hamuamki.
ReplyDeleteSimon ha ha haaa, kweli kabisa
Yasinta:Ni kweli tukipendana, tukishirikiana na kusaidiana tutadumisha umoja wetu.
ReplyDeleteEmu 3:Asante sana
Simon: Asante,bila sisi Wanume msingekuwepo.
Chib:Tunajikongoja tunaamini tutafika tu.
@EDNA: Nasikia kwenye vitabu kama BIBLIA kuna wadaio kuna nukuu zisemazo BILA sisi nyie msingekuwepo kwa kuwa eti mwanadada mrembo Hawa alitoka ubavuni mwa KIDUME rijali ADAMU!
ReplyDeleteKwa hiyo labda tunahitajiana yani na wote muhimu!
Na hiyo si ndio maana ya wadaio equal rights?
@Simon ni kweli wote ni muhimu.Uwepo wetu unategemea jinsia zote mbili,hakuna mwanaume bila mwanamke na hakuna mwanamke bila mwanaume.
ReplyDeleteWanawake oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
ReplyDeleteNamuunga mkono Chib, sijui wenzangu mnasemaje?
Edna nyie ni mapacha?
@Da Mija: Hapana si mapacha hapo ni mkubwa na mdogo,mimi ndio mkubwa.
ReplyDeleteWanawake juuuu!Mungu wabariki Wanaweke wote duniani!!!!!!!!@kaka KITURURU NISHAI EEHEEE HAHAA!
ReplyDeleteWanawake Juu zaidi!!
ReplyDeleteHongera mama Edna kwa kazi nzuri!je tunaweza kupata JIKO hapo kwako?
Wanawake Tusilale bado Mapambano!!.
your lil sis simply beauty,nimependa sana hii
ReplyDeleteIssack: thankx for passing by, yaah she is so beutiful.
ReplyDelete