Pages

Tuesday, 8 March 2011

HAPPY WOMEN`S DAY!


MAMA

MIMI

MY SWEET LIL SIS...

Iam so proud of being a woman and having loving and devoted mother,she is such a wonderful woman that i cant even explain....SHE IS MY HERO...
HAPPY WOMEN`S DAY, to all women in the World and All STRIVE FOR LIFE READERS.....
WOMEN ARE GREAT HUMAN BEINGS, WITHOUT WOMEN THERE IS NO WORLD NO HAPPINESS.
TUPENDANE, TUHESHIMIANE NA TUSAIDIANE.

13 comments:

  1. Happy womens day...hureeeeee!

    ReplyDelete
  2. Edna mmefanana kweli yaani huwezi kutofautisha. Umenena mwanamke ni muhimu sana kusaidiana, kushirikiana ili kudumisha umoja. wanawake Oyeeeee!!! ila pia tusiwasahau akina baba nanyi mnapewa nafasi kwa siku hii.

    ReplyDelete
  3. Hongereni wajameni! Halafu wanawake nyie yani ni wazuri jamani!

    Ingekuwa nishai kweli kama DUNIANI kungejaa MIDUME tu!:-)

    ReplyDelete
  4. Tunasubiri vitendo jamani. Kila mwaka tunawapongeza lakini hamuamki.
    Simon ha ha haaa, kweli kabisa

    ReplyDelete
  5. Yasinta:Ni kweli tukipendana, tukishirikiana na kusaidiana tutadumisha umoja wetu.

    Emu 3:Asante sana

    Simon: Asante,bila sisi Wanume msingekuwepo.

    Chib:Tunajikongoja tunaamini tutafika tu.

    ReplyDelete
  6. @EDNA: Nasikia kwenye vitabu kama BIBLIA kuna wadaio kuna nukuu zisemazo BILA sisi nyie msingekuwepo kwa kuwa eti mwanadada mrembo Hawa alitoka ubavuni mwa KIDUME rijali ADAMU!

    Kwa hiyo labda tunahitajiana yani na wote muhimu!

    Na hiyo si ndio maana ya wadaio equal rights?

    ReplyDelete
  7. @Simon ni kweli wote ni muhimu.Uwepo wetu unategemea jinsia zote mbili,hakuna mwanaume bila mwanamke na hakuna mwanamke bila mwanaume.

    ReplyDelete
  8. Wanawake oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

    Namuunga mkono Chib, sijui wenzangu mnasemaje?

    Edna nyie ni mapacha?

    ReplyDelete
  9. @Da Mija: Hapana si mapacha hapo ni mkubwa na mdogo,mimi ndio mkubwa.

    ReplyDelete
  10. Wanawake juuuu!Mungu wabariki Wanaweke wote duniani!!!!!!!!@kaka KITURURU NISHAI EEHEEE HAHAA!

    ReplyDelete
  11. Wanawake Juu zaidi!!

    Hongera mama Edna kwa kazi nzuri!je tunaweza kupata JIKO hapo kwako?

    Wanawake Tusilale bado Mapambano!!.

    ReplyDelete
  12. your lil sis simply beauty,nimependa sana hii

    ReplyDelete
  13. Issack: thankx for passing by, yaah she is so beutiful.

    ReplyDelete