Pages

Monday, 21 March 2011

HAPPY BIRTHDAY TO MIMI.


Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,nilizaliwa mimi.Shukrani zangu za dhati ziwaendee wazazi wangu kwa kunilea na kunivumilia kwa yote...Wadogo zangu kwa kuwa sambamba na mimi kila nilipohitaji msaada wao.Pia Mume wangu mpenzi kwa kunifariji kila ninapokuwa na huzuni.Bila kuwasahau wasomaji wangu wa STRIVE FOR LIFE.
GOD BLESS YOU ALL.

9 comments:

  1. Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa Edna. Nami nawashukuru sana wazazi kwa kukulea wewe nasi tunafaidika sasa.HONGERA SANA

    ReplyDelete
  2. HBD Edna.

    Ni siku ya furaha kwa upande mmoja, lakini ni kiashiria cha kuelekea uzeeni!
    Ha ha haaa, wish you all the best for the coming birthdays. Enjoy your day!!

    ReplyDelete
  3. happy birthday sweet lady,mungu akuongezea miaka mingine milioni.usisahau kwenda kwa babu londo.

    ReplyDelete
  4. Hongera da Edna kwa kuongeza mwaka!Mungu akuzidishie mema zaidi!.

    ReplyDelete
  5. Asanteni sana wote Mungu na awabariki.

    ReplyDelete
  6. epi besdei tu yu! dear
    may the glory of God be with you forever

    ReplyDelete