Pages

Saturday, 19 March 2011

SPANKING NEW BONGO FLAVA!


Anaitwa Dully Sykes a.k.a Mr Misifa,Song linaitwa BONGOFLAVA.

4 comments:

  1. MMMMhhhh kibao murwaaaaaaaaaaaaa kwelikweli yaani ungeona hapa wote hapa nyumbani tumejipanga kwa kucheza mpaka hoi na ukizingatia leo ni jumamosi....

    ReplyDelete
  2. Hahaaa siwapatii picha,jumamosi njema.

    ReplyDelete
  3. kiburudisho MURUA hiki!:-(

    Ila sijui kwanini kinanikumbusha ngoma kadhaa za zamani kidogo za KISAUZI na pia yule paka mashuhuri kwenye kinanda chake kwenye KEY nyingine...http://www.youtube.com/watch?v=J---aiyznGQ

    ReplyDelete
  4. Hahaaa! nimeangalia Simon,kumbe wamemuiga paka...lol

    ReplyDelete