Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,nilizaliwa mimi.Shukrani zangu za dhati ziwaendee wazazi wangu kwa kunilea na kunivumilia kwa yote...Wadogo zangu kwa kuwa sambamba na mimi kila nilipohitaji msaada wao.Pia Mume wangu mpenzi kwa kunifariji kila ninapokuwa na huzuni.Bila kuwasahau wasomaji wangu wa STRIVE FOR LIFE.
GOD BLESS YOU ALL.
Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa Edna. Nami nawashukuru sana wazazi kwa kukulea wewe nasi tunafaidika sasa.HONGERA SANA
ReplyDeletehappy birthday dear
ReplyDeleteHBD Edna.
ReplyDeleteNi siku ya furaha kwa upande mmoja, lakini ni kiashiria cha kuelekea uzeeni!
Ha ha haaa, wish you all the best for the coming birthdays. Enjoy your day!!
Happy birthday Dada Edna
ReplyDeletehappy birthday sweet lady,mungu akuongezea miaka mingine milioni.usisahau kwenda kwa babu londo.
ReplyDeleteHongera da Edna kwa kuongeza mwaka!Mungu akuzidishie mema zaidi!.
ReplyDeleteAsanteni sana wote Mungu na awabariki.
ReplyDeleteHappy Birthday Edna!
ReplyDeleteepi besdei tu yu! dear
ReplyDeletemay the glory of God be with you forever