Pages

Tuesday, 15 March 2011

Michael Jackson - Liberian Girl !


"Nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee",waooh kiswahili ndani ya nyumba.
Daima tutakukumbuka Michael.Hakuna kama wewe na kamwe hata tokea.
WE WILL ALWAYS LOVE YOU.

2 comments:

  1. Ngoma kali hii!


    Lakini inasemekana jamaa alikuwa hanogewi na mademu weusi kama wa Liberia ,...
    ....na alinogewa zaidi na Mablondi weupe kama wa Kiswidi!:-(

    ReplyDelete
  2. Najiuliza nani alimtungia, au hicho kiswahili

    ReplyDelete