
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametoa rai kwa watu wote wenye asili ya Africa waliotawanyika sehemu mbalimbali Duniani,watumie uwezo wao walionao kuwekeza katika Bara La Africa na kusaidia kuleta maendeleo,rais pia amepinga mtazamo hasi uliotawala katika nchi nyingi za Magharibi hasa katika vyombo vya habari, kuonyesha kuwa Africa ni bara lisilokuwa na kitu kizuri bali machafuko,magonjwa,njaa na umasikini.
0 comments:
Post a Comment