Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday 27 December 2009

HII NI KITU MUHIMU SANA KWA CHRISTMAS YA WASWID.

Hallo my people,i had a wonderful moment this X mas and i got to know some of the Swedish Traditional christmas food.vipo vingi lakini mimi nilivutiwa na hicho kitoweo hapo juu.
Hii kitu inaitwa JULSKINKA kwa kiswid, hii ni sehemu ya tako ya nguruwe ni kitoweo muhimu sana siku ya christmas kwa waswidi,i was little curious kwa nini wamefanya hiyo nyama sehemu ya tako kuwa Muhimu siku ya x mas? jibu nililopewa ni kuwa wakati sweden haijakuwa kimaendeleo walikumbwa na tatizo la njaa na kitoweo kilichokuwa kinapatikana kiurahisi ni nyama ya nguruwe,so kutokana na uhaba huo ilipelekea kila sehemu ya mnyama huyo kuliwa hakuna kilichoachwa.Baada ya hapo wakafanya kama chakula kimojawapo cha utamaduni wao.Mmmmmh sisi cha kwetu nini!! pilau?.

0 comments: