Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 3 May 2010

NJIA MPYA YA KUWAKOMESHA WEZI WA PASSWORD.

Hapa mtu huwezi jua key gani unatumia maana keybord imevalishwa nguo.
Hii ni kali maana anachokiandika anajua yeye tu kazi kwelikweli.
Hii ndio kiboko yao maana huwezi kuona wala kusoma anachoandika......Hahhahahaa.
Picha kwa hisani ya Mohammed Blog.

3 comments:

chib said...

DUH!!!!
HEWA ANAPATAJE HAPO ALIPOJIFUNIKA MPAKA NA KICHWA

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

unaweza kuwa na ulinzi wa namna hiyo lakini mkeo/mumeo akakuibia password akampa shostito wako...lol

EDNA said...

Hahahah Chacha umetoa mpya kweli,sasa ampe shostito wake ya nini?
Chib hewa siyo muhimu kwake,cha muhimu password isiibiwe....lol.