Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 1 June 2010

BRACKET FT P SQUARE, NO TIME.
THE JOKE OF THE DAY.

American preaching couple ( Reverend Mr & Mrs Stumbles) held a crusade in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a real mess of the whole event..... and meaning,

STUMBLE: Everything comes from above.!!
Kamau: Vitu vyote huja juu juu,
STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
Kamau:.......Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,
STUMBLE: know perfectly well,
Kamau:.....Na muwajue vizuri sana,
STUMBLE: That all world affairs,
Kamau:.........Kwamba mapenzi yote duniani,
STUMBLE:are successfull only if held from above,

> Kamau:.............Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.
STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
Kamau: Kumbuka kuuamini mlingoti wako,
STUMBLE: Keep it first and above,
Kamau:..............uuweke kwanza juu juu.
STUMBLE: Let it run very deep and > strong,
Kamau:...............Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena > kwa nguvu,
STUMBLE:Should anybody want to test you,
Kamau:..............Mtu yeyote akitaka kukuonja,
STUMBLE:......will feel its work,
Kamau:...............Ataisikia kazi yake
STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,
Kamau:........ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,
STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
Kamau:.......Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,
STUMBLE: and that peace will remain.
Kamau:..............Na sehemu hiyo itabakia.
STUMBLE: Amen

0 comments: