Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 18 July 2010

BRAND NEW VIDEO FROM KIDUMU FT LADY JAYDEE!


Watu wawili wenye vipaji na sauti za kumtoa nyoka pangoni walipokutana na kuamua kuingia studio kutengeneza wimbo wa "NITAFANYA" na hatimae video.....Nimependa mengi kwenye hii video,kwanza wote wamependeza,pili sauti zao ndio balaa,tatu ujumbe uliomo,na nne vile Lady JayDee alivyoonyesha hisia utafikiri kweli yamemkuta.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

safi sana, jupilinjema na asante kwa kipande hiki.Maisha na mziki jamani :-)