Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 11 July 2010

JAMANI NJAA HAINA ADABU NA HAICHAGUI MTU.

Bibi akiwa amefungasha mzigo wa Bangi, mwenyewe alikuwa amejiandaa tayari kwenda kafanya biashara lakini bahati haikuwa yake wajanja wamemnasa.
Polisi wakimpekuwa bibi mwenye umri wa miaka 94 alikamatwa maeneo ya Nogales Arizona akiwa na bonge la mzigo wa bangi....Swali ni je kweli huyu bibi hiyo biashara ilikuwa ni ya kwake ?au wajanja walimtumilizia wakiamini bibi kama huyo hawezi kushukiwa kama anaweza fanya biashara kama hiyo? Mie naona she is toooooo old for that,....na kama ilikuwa ni biashara yake then the World is coming to an end.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kumbe kwa nini uwe na aibu? kaazi kwelikweli!!

Azeez Nizardeen said...

yasinta! what is this language i couldn't understand...!

chib said...

Oh My lord! Marijuana business at that age.
Masikini ka bibi ka watu, yaani kanaenda kufia jela tu. Kwa umri huo add up stress in jail, wou wou

Yasinta Ngonyani said...

Azeez Nizardeen! kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa Tanzania.