Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 12 August 2010

BONGO KILA MTU MWANAMZIKI.


Ama kweli Money Talks, Bongo ukiwa na pesa ya kuingia studio na kurecord tayari wewe ni mwanamziki,kipaji sio muhimu wala nini...Joti nae amejitosa kwenye ulimwengu wa Muziki na JIBWA KOKO.Video kwa msaada wa blog ya DJ CHOKA.

2 comments:

emu-three said...

Unajua kila mtu anatafuta wepesi wa kupata, kwani maisha ni magumu na sehemu nyingi zimewekewa vikwazo huwezi kula mpaka mwingine aonje

SIMON KITURURU said...

:-)