Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 1 September 2010

AHADI TANO ZA KIZALENDO.

1.CHADEMA WOTE NI NDUGU ZANGU NA RAIS 2010-2015 NI SLAA
2.CCM NI ADUI WA HAKI.SITAKUBALI KUICHAGUA`WALA KUONGOZWA NAYO
3.NITAPIGA KAMPENI KWA KADRI YA UWEZO WANGU NA KUCHAGUA CHADEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE.
4.AKILI NI MALI,SITATUMIA AKILI YANGU WALA MALI YANGU KUKAMPENI CCM.
5.NITASAMBAZA MESEJI HII KWA KADRI YA UWEZO WANGU ILI TULIKOMBOE TAIFA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mmbariki rais ajaye DR Slaa

SALA MAALUM.
Tusali kwa pamoja......

Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli. Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili patakatifu (Ikulu) pawe na Amani, Sasa basi Mungu wasaidie Watanzania wenzetu wasio na ujuzi wa kutambua nani kiongozi bora wamtambue kuwa amekuwa akidai haki zao yapata miaka 15, Mungu tuepushe na rushwa za vitenge, pombe, simu, pikipiki na ahadi za uongo maana wewe hupendi uongo.


Ni katika jina la Mungu Baba tunaomba na kushukuru. AAAAAAAMEN!


CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEE!!!


CCM MARLOWNote:Hii si kampeni kwa chama chochote....After all mimi sina chama chochote.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

huo wimbo bombi kweli yaani ngoja nami niuweke hapo kwangu Edna nawe mpekuzi nawe ngoja watakuita nawe mtembezi kama sisi wengine.