Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 24 September 2010

HUYU NAYE ANAFANYA NINI?

Sasa na wewe unachungulia nini hapo jamani? kabinuka utafikiri anayemchungulia ni mtu ,hahahaa kuna watu wanavuko!

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

watu weweeeeeeeeeeeeeeeee kaaazi kwelikweli huko anachungulia nini tena....

SIMON KITURURU said...

Kulingulia saanyingine ni kutamu kuliko kuliangalia biringanya.:-(

SIMON KITURURU said...

Samahani neno Kulingulia lisomeke ``KUCHUNGULIA.´´


Au ngojea niandike sentensi upya:

Kulichungulia BIRINGANYA lililofichwa saa nyingine ni kutamu kuliko kuliangalia lililowazi kwa wote kuliona BIRINGANYA.:-(

EDNA said...

Nimekupata mtakatifu.

emu-three said...

Kwa kiswahili cha sasa wanaita `kupiga chabo'
Huyu anachungulia kupitia akili yake...ni kama wala madawa, wanadai wakibwia wanajiona wapo Ulaya, wakatii wamalala kwenye dampo la taka Mwananyamala. Hapao anacheza na Ubongo...!

Adela Dally Kavishe said...

kazi kweli kweli hadi kwenye sanamu sasa ataona nini hahahaha