Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 16 September 2010

JAMANI KAMA NI FASHION SASA IMEPITILIZA!

Lady Gaga haishiwi vituko, kila kukicha anaibuka na fashion mpya ya nguo...How can somebody wear meat jamani? We all knows that she is attention-Seeker ila hii mmmmmh .Can you imagine hii nguo aliyovaa ni nyama ya ukweli kabisaaa.
Hahaaa viatu navyo ni nyama....kazi kweli kweli.

3 comments:

chib said...

watu wanaodai haki za wanyama sijui watasemaje, kuwaua .. halafu kuvaa nyama yao, yaani bora wale wanaoila.
Nasema hivi kwa sababu wakati ule Obama alipomuua inzi aliyekuwa anamsumbua wakati wa mahojiano kwenye runinga, watu wa haki za wanyama walilalamika ati kwa nini alimuua inzi huyo, badala ya kumshika na kumrushia nje ili aende zake kwa amani.
Kwa ufupi... Dunia hii imejaa vituko.

Yasinta Ngonyani said...

Edna, umeniacha hoi kweli nami nasema kaazi kwelikweli kuvaa nyamna na atakula nini? au hajui kama nyama watu wanakula sio kuvaa mwilini? Sijui ni mwisho wa dunia?

SIMON KITURURU said...

Kapendeza kweli!

Ashakumu si matusi ila kuna mtu anaweza kukiri kula kuku na mayai yake yeye kaizidi kwa kuwa anaweza kula mtu na nguo zake katika hili WALAKHI!:-(