Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 12 October 2010

ME IN DIFFERENT POSES,

I have no idea what i was looking, kwikwikwi....

Hapa nilikuwa najikuna mara nikastukia kitu kimeshamulika hahaaa .....
Don`t touch my hair hahaaa.....Hii kazi ya kupiga picha imenifanya mpaka nikachelwa buss leo.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wakati mwingine ni raha kupigwa picha kuwa mwanamtindo kwa siku moja. Raha jipe mwenyewe pia anza kujipenda mwenyewe. PAMOJA DAIMA!!!

SIMON KITURURU said...

Umependeza sana EDNA!Mtoto mzuri kweli wewe!Kwenye mabano: udenda mentoka.:-)

EDNA said...

Yasinta kweli raha jipe mwenyewe,ukisubiri upewe utasubiri milele.

...Hahaaa Mtakatifu unavituko kweli wewe...Asante sana.

Adela Dally Kavishe said...

shost ulipendeza pia mapozi yametulia