Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 25 October 2010

USHABIKI HUANZA TOKA UTOTONI.

Mmmmmh hapa nahisi wazazi ndio mashabiki na sio hao watoto.....Lakini waswahili wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....

3 comments:

Adela Dally Kavishe said...

kazi kwelikweli watoto nao wana chama lakini inapendeza kwani akikua ankuwa muelewa zaidi

Yasinta Ngonyani said...

ni kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na watoto ni viumbe ambao ni wazuri sana kwa kuiga.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mmh!