Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 24 December 2010

MERRY CHRISTMAS EVERYBODY!


Nawatakien wote Xmas njema....I wish ningekuwa Bongo maana kila nyumba leo itakuwa inanukia pilau mweeee.

8 comments:

SIMON KITURURU said...

Edna si upike tu Pilau Nyumba inukie?

X-mass Njema mtu wangu!

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha! Ät sill,lax,rödbettsallad,potatis köttbullar,prinskorv osv och glöm int julmust:-) GOD JUL EDNA OCH HÄLSA SVÅGER!!

emu-three said...

Na wewe pia x-mass njema, hivi huko majuu hawapiki pilau, mnaogopa mtaambiwa mumechafua hali ya hewa...lol

EDNA said...

Simon na Emu-Three Pilau huwa napika lakini leo nimemwachia baba mwenye nyumba afanye mambo ya kikwao.

Yasinta: Jag gillar inte sill men annars äter jag allting.
Ha en bra Jul.
Kram.

SIMON KITURURU said...

Weee MDADA wewe nafikiri hukupelekwa KITCHEN PARTY!:-(
Si nasikia MWANAMKE wa KIAFRIKA kupikiwa na MUME wake siku ya sikukuu ni MWIKO?

Niandae nini KITCHENIN party za WADADA wa KIAFRIKA ughaibuni?:-)

emu-three said...

Wowowow..Edna, sio kwasababu upo huko majuu, ndio usahau mila za kikwetu, umemuachia naniii...lol. Nkautakia x-mas njema, na kila kitu tumenunua achilia mbali viungo vya pilau...na hapo nahisi unamezea mate. tukutumie kwenye e-mail nini...lol

EDNA said...

Hahaaa. Simon na Emu hamjatulia nyinyi....Jamani huwa napika kila siku ni leo tu na yeye anataka anionyeshe maujuzi yake mweee.By the way mambo ya usawa eboooo.

Candy1 said...

Santaa!!!!! where my gifts at? Its boxing day and I am not boxing anything hahahahha! Hope u had a nice Christmas dear :-)