Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 13 December 2010

MR & MRS ÖHMAN

OUR WEDDING TOOK PLACE ON 27th NOVEMBER 2010 IN DAR ES SALAAM TANZANIA.
CHURCH:ST JOSEPH
VENUE:LANDMARK HOTEL

Matron akiweka mambo sawa.


Tukiingia ukumbini


tukitoka nje ya kanisa baada ya ndoa

Tukikata cake huku matron wangu akishangilia

Team yangu nzima tukiwa na nyuso za furaha........
6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongereni sana tena sana na karibuni sana katika maisha ya ndoa bwana na bibi Öhman. GRATURERA!!

SIMON KITURURU said...

Hongera sana Edna!

Adela Dally Kavishe said...

hongera sana my dia kila la heri

EDNA said...

Asanteni sana wote....Yasinta,Simon,na Adela.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hongela mwanagu eeeh! hongelaaa nami niongeleeeeeeee!

Safi sana mwanawane.....nakutakieni kila la kheri ktk maisha ya ndoa!

Anonymous said...

Duuh! uko juu mama, all the best. Mlee mumeo, mpende muheshimu,ameacha woooote kakuoa wewe! looh una kila sababu ya kumshukuru Mungu