Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 24 February 2010

LIKE FATHER LIKE SON!!

Kuna msemo wa kiswahili usemao Maji hufuata mkondo.......Watoto hujifunza mengi kutoka kwa wazazi wao na baadae hufanya yale ambayo wamekuwa wakiona wazazi wao wakifanya yawe mabaya au mazuri .Hili limejidhihilisha kwa Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith Ambae anaonekana kufuata nyayo za baba yake.This little boy is doing pretty good, huenda siku za usoni akamfunika hata baba yake.I have seen the Trailer of KARATE KID Jamani huyu mtoto balaa...

Monday, 22 February 2010

HATARIIIIII! KWELIKWELI.

Maji machafu yakitiririka kutoka kwenye shimo lililopo katikati ya barabara jijini Dar es salaam,Mfuniko umeshachukuliwa na wajanja......Mmmmh.
Picha kwa hisani ya mtaa kwa mtaa.

Friday, 19 February 2010

ARV'S Zazuia Maambukizi Ya HIV !

Utafiti mpya umeonyesha kuwa dawa zinazotumika kutibu maradhii tegemezi kwa wagonjwa wa ukimwi (ARVS) zinaweza kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV.
Utafiti uliofanywa miongoni mwa wanandoa elfu tatu mia tano wanaogua virusi hivyo barani afrika , ulionyesha kuwa uwezekano wa wagonjwa waliotumia sana dawa za ARV,'s kuwaambukiza wenzao, ni wa chini mno.

Kwa kipindi cha miaka mitatu, zaidi ya visa mia moja vya maambukizi mapya ya HIV viliripotiwa miongozi mwa waliokuwa wanafanyiwa utafiti huo. Lakini ni mtu mmoja tu aliyekuwa anatumia dawa hizo ndiye alieambukizwa.

Waliofanya utafiti huo, wanasema huenda mtu huyo aliambukizwa kutokana mabadiliko mwilini mwake yaliosababishwa na dawa hizo.
Source BBC.

Tuesday, 16 February 2010

Jay -Z Auponda wimbo Mpya wa *We are the World*



Jay-Z wasn't a big fan of the "We Are the World" remake, which debuted at the Olympic opening ceremonies Friday to benefit Haiti earthquake relief.

"I know everybody is gonna take this wrong: 'We Are the World,' I love it, and I understand the point and think it's great. But I think 'We Are the World' is like [Michael Jackson's] 'Thriller' to me. I don't ever wanna see it touched," Jay-Z told the MTV.Mimi pia nimepata nafasi yakuusikiliza,Kwa mtazamo wangu Original ni bomba zaidi.....

Monday, 15 February 2010

UBUNIFUUUUUU!!

Its a car!!.....oooh ...nooo,Motorcycle! No way!!...bwana haiwezekani, ok a Bike! hapo ndio umechemsha kabisaaaa! so what it is? mie pia sijui.

Wednesday, 10 February 2010

Soda Increases Risk Of Cancer!


Do you drink much soda like me? Stop it.... New research shows that soft drinks may cause cancer.So wale wenzangu na mimi hii si habari njema kabisaaa!tuanze rasmi kunywa maji mengi kuliko soda.

American scientists have made study, suggests that consumption of soft drinks increases the risk of cancer. A few years ago made a similar study in Sweden, where the researchers came to the same result.

Monday, 8 February 2010

Tabu Ya Usafiri Dar!!


Hivi hili tatizo la usafiri litakuja tatuliwa lini? bus linalotakiwa kubeba watu 40 linabeba watu 100, kwa mtindo huu ajali zitaisha kweli? Cha ajabu Trafik akikukamata umezidisha abiria atataka rushwa ukitoa anakuachia uende zako....Hii ndio Tanzania bwana pesa inawekwa mbele kuliko utu.

Sunday, 7 February 2010

Afanya operation ili afanane na Jesca Alba!


21-year Xiaoqing planning to operate to become like her boyfriend's dream woman, Jessica Alba.
Chinese Xiaoqings boyfriend dumped her - because she was not sufficiently similar to the actress
She wore the blonde wig every day, for his sake.

Yet Chinese Xiaoqings boyfriend dumped her - because she was not sufficiently similar to Jessica Alba.

They had been together for a year and a half years.
Ukisikia utumwa wa mapenzi ndio huu....mimi naamini mtu anakupenda jinsi ulivyo...na kila mtu ameumbwa kipekee,sasa mtu anaposema ujibadilishe uwe kama mtu fulani jamani? hii haiingii akilini Kabisaaaaa....Dunia inavituko balaaa.

Wednesday, 3 February 2010

LADY GAGA`S OUTFIT AT THE GRAMMY AWARD


Kama kuna wanawake wenye vituko duniani basi Lady Gaga anaongoza,i have never seen this outfit before,it looks like she is living on her own World.....lol.

`WE ARE THE WORLD` NEW VERSION!!


Jumla ya wasanii 100 maarufu wa muziki duniani,walikusanyika katika studio moja chini ya Producer yule yule aliyetengeneza WE ARE THE WORLD ya mwaka 1985,Quincy Jones ili kuutengeneza upya wimbo wa We Are The World.lengo likiwa ni kuchangia waathirika wa tetemko la Ardhi lililoikumba Haiti wiki chache zilizopita ambapo inahofiwa kwamba watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha.Baadhi ya wasanii hao ni,
Wyclef Jean, Kanye West,Celine Dion,Jennifer Hudson,Miley Cyrus,Barbra Streisand,Tony Bennett,Jamie Foxx,Natalie Cole, Akon, Carlos Santana,Josh Groban,Justin Bieber, Snoop Dogg,Drake,LL cool J na wengine wengi.

Tuesday, 2 February 2010

TAFAKARI NDANI YA CARTOON!!


Je wewe ni miongoni mwa watu ambao ni mabingwa wa mipango lakini likija suala la utekelezaji ni zero? au ni bingwa wa kuahidi alafu hutimizi ahadi.?Nini husababisha usiweze fanikisha yale uliyoyapanga kuyatekeleza? na kwa nini uahidi alafu usitekeleze?