Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 22 January 2011

INAKUWAJE TENA?


GARI la Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo(NW HVUM) Kwa kweli hapa mimi sijaelewa gari moja kuwa na plate number mbili! mmmmmh au ndio utaratibu mpya umeanzishwa mimi ndie nimepitwa na wakati?...lol...

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Kwani nyumba ndogo unafikiri utaendaje bila kustukiwa?:-(

Goodman Manyanya Phiri said...

Hiyo mpya tena! Labda nami kama wewe nimepitwa na wakati na nitarudia kwa hamu kwenye blogi yako hapo baadaye kusoma maoni ya wengine

Anonymous said...

Hii nayo mpya,ila sishangai kwa bongo maana mambo yetu shagalabala.

CHID said...

Nyie hamjui, hiyo gari mchana ni ya Serikali usiku ni ya mtu binafsi.