Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 15 January 2011

Vyanzo vyetu vya maji.....

Maji safi ni muhimu kwa kila Binadamu.
Picha hizi zinaonyesha hali halisi ya upatikanaji wa maji katika Vijiji viwili,Solya na Kilimatinde huko Manyoni Mashariki,Singida.
Mashine za Serikali hazifanyi kazi tena kutokana na ubovu, hivyo watu binafsi wamewekeza za kwao na kuchaji shilingi 100 kwa Ndoo moja ya lita 20

Source: Habari na Picha kutoka kwa Mdau Baby Bosco....
1 comments:

chib said...

Huu ni mzaha jamani!