Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 4 April 2011

HIVI NYOKA ANAWAKILISHA NINI KWENYE NOTE YA SHILLING MIA TANO?


NOTE YA ZAMANI.

NOTE MPYA.

Kwa wale waumini wa dini ya kikiristo au wale wanaopenda kusoma biblia kwenye kitabu cha MWANZO kuna stori ya Adam na Eva ambapo walidanganywa na NYOKA na kulila lile tunda.....baada ya hapo maovu yakaanza.
Pale NYOKA aliwakilisha uovu/majaribu na utumishi wa shetani.Sasa je huyu nyoka wa kwenye shilingi mia tano yeye anawakilisha nini?
Tafadhali kwa wale wanaofahamu naomba wanijuze.

1 comments:

Fadhy Mtanga said...

nyoka hawakilishi uovu...tazama nembo za vyui vikubwa vya utabibu na mahospitali makubwa...nyoka ni alama ya utabibu