Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 7 May 2011

HAVE A LOVELY WEEKEND!

Jamani hali ya hewa ya leo ilikuwa ni nzuri kwelikweli jua liliwaka hadi raha,mwenyewe nikaona nikae nje niote jua maana jua lenyewe la kubip, 
Hapa nikaona bora nitoke nikatembee tembee ili nilifaidi jua vizuri.
Nawatakia mwisho wa juma uliomwema wote....

4 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

safi sana!

Swahili na Waswahili said...

Haya wangu kwa raha zako!weekend njema nawe pia!.

Yasinta Ngonyani said...

wikiendi njema nawe pia mwanadada...

Anonymous said...

Umependeza, unaonekana preg is it?, if yes congrats utakua na beb mzuri kama wewe na dad wake