Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 30 June 2011

NEW TV SHOW:FAMILY FULL MAPESA ON STAR TV.Ni program ya kijamii ambayo inarushwa hewani kupitia kituo cha STAR TV kila JUMAPILI saa 12:30 -1:00 jioni. Ni program nzuri sana ambayo inalenga kuburudisha, kuelimisha na kugusa hisia.

0 comments: