Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 11 July 2011

DOGO NOMAAA!

Muangalie dogo anavyojiamini,kama vile anasemaa..........aaaah  malizia mwenyewe.

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Ila kimalezi ya KIBONGO ya kuchapwachapwa hukawii kukuta akikuwa atakuwa hana chakujiamini wala nini na kimtandaoni fulu U-anonymous akikosoa au kumtusi mtu!:-(

emu-three said...

Kweli anaonekana kujiamini!

Swahili na Waswahili said...

Dogo kiboko,tumpeleke jeshini huyu da Edna!!!!

EDNA said...

@Simon jamani yaani umeshamtabiria atakuwa anonymous kutukkana watu mtandoni...nimecheka hadi basi.

@Emu 3...yap dogo anajiamini.

@Da Rachael kweli umenena jeshi litamfaa.