Monday, 4 July 2011
WATU WAMECHOKA NA HAYA MAISHA.
Yale yale ya Bush kupigwa na kiatu sasa yamemkuta Nicolas Sarkozy(French president.Check walivyomkuda.Hehehe kabla sijasahau na Ali Hassan Mwinyi naye alinasagwa kibao eheee!
Swali ninalojiuliza hivi hawa watu huwa wanajiamini nini mpaka kuamua kufanya hivyo?
AU NDIO ILE NIMESHAJICHOKEA NA MAISHA LIWALO NA LIWE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment