Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 25 September 2011

BAADA YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA,NA HIVI NDIYO WANAFUNZI WANAVYOSOMA.

Sikatai mimi pia nimepitia maisha haya ya kusoma kwa vibatari,kipindi hicho nilikuwa na matumaini kuwa siku moja hali itabadilika na sisi tutafaidi matunda ya nchi yetu.Miaka imekwenda imerudi hakuna cha mabadiliko wala nini,tunachoambulia ni ahadi feki kila kukicha.ati "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"maisha bora yenyewe ndio haya? au mimi ndio sijui tafsiri ya MAISHA BORA? Labda maana yake ni maisha mabovu kwa kila Mtanzania.


Vifaa vya kufundishia hakuna mweee....alafu mwisho wa siku tunataka wataalamu.Mtaalamu gani utampata kwa staili hii?
I LOVE MY COUNTRY WITH ALL MY HEART BUT THIS MAKES ME SICK.
Pics credit to wavuti.

WISH YOU NOTHING BUT A LOVELY SUNDAY.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kweli inasikitisha ...sina la kusema zaidi..Nakutakia nawe pia jumapili njema...