Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 1 September 2011

LADY GAGA IN DIFFERENT OUTFITS!!!Huyu ndie LADY GAGA bwana  haishiwi na vituko...

1 comments:

SIMON KITURURU said...

Asije akapitiliza tu watu wakasahau mpaka nyimbo zake na kukumbuka tu vituko kama anataka akumbukwe kama mwanamziki!

Vituko vikizidi sana watu wanachanganyikiwa ni nini hasa sanaa yake!

Ni mtazamo wangu tu!