Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 5 September 2011

Sherehe za Bridal Shower ya Bahari Mukama Zafana...!!!


Wakiwa katika ishara ya kuzidisha upendo, Bahati Mukama na mdhamini wake wapendo, Paul Walden wakiwa katika sherehe ya Bridal Shower yao iliofanyika jana Jumamosi Sep/3/2011 katika Jimbo la Maryland Nchini Marekani.


Mh. Cathrine Magige, Loveness Mamuya na Zena B Dulla 'Yo What'z Up!
Wandugu na jamaa wakiwa kenye flash ya pamoja walipendeza sana...!

Mama wa pilot akiwa na mdogo wake, Amina mazonge na rafiki yake nyuma kuleee (kushoto) mdhamini wapendo lake, wakipata flash ya pamoja kwenye Bridal Shower ya rafiki yao Bahati Mukama, iliofanyika Jana Jumamosi Sep/3/2011 Maryland Nchini Marekani.

Ukumbi ulifurika mamia ya wageni walioalikwa kwenye Bridal Shower hiyo

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli inapendeza na wote walipendeza kweli....Ushirikiano ni kitu kizuri sana!!

Swahili na Waswahili said...

Wamependza sana, Hongereni.

SIMON KITURURU said...

Kila la kheri WAPENDANAO!