Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday 15 October 2011

HAPPY PEOPLE!

 Jana tulialikwa na dada Linda huyo wa kwanza kushoto nyumbani kwake kupata msosi wa mchana.
 Isebella wa kwanza kushoto(France)Edna aka mimi,huyo wa nyuma yangu ndie mwenyeji wetu Linda(China) mwenye jacket jekundu Lidia (Poland) huyo mwenye t shirt nyeupe anaitwa Sunit (Thailand.)
 Tukiwa na nyuso za furaha.
Kwa pamoja tunawatakia weekend njema.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni vema sana kuwa na ushirikiano kama huu hasa ukiwa ugenini safi sana ...natamani ningekuwa hapo nanyi...Wikiendi njema nanyi pia wadada!!

EDNA said...

Ni kweli dada Yasinta,Maisha yenyewe yalivyojaa stress, siku moja moja unakutana na watu ambao watakufanya ufurahi.

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante kwa wikendi njema, Da'Edna;na hadi saa hizi hatunasababu ya kulalamika. Tunamshukuru naye Mungu kwa rafiki yetu kama Edna!


Mimi binafsi msosi wangu utakuwa tayari baada ya dakika kama 12 hivi!


Yanachemka maharage mabichi na nisamehe kama ni Kiswahili kibovu cha "GREEN BEANS". Huo ni mchanganyiko pamoja naCARROT, CABBAGE halafu GARLIC kiwango kama mtu anakwenda kuuza vile sokoni!

Aliyeanza upishi huu kalala na sijui nini kusudi lake jingine nje ya kupunguza kilo kumi zaidi kuliko alivyopunguza miezi miwili iliopita... nyie wanamama nanyi...! Basi tena!!!

Lakini nitakula hivyohivyo nikonde nami mtoto waMnyasa! Penzi ni kipofu, ila lazima nitaongeza mabonge ya viazi! Atanionaje naong'opea? Si kalala?


Narudi kwako sasa, Edna! Hebu tupashe kidogo, Dada: Rafiki zako Mchina (Linda)na Mfuransa (Isebella) walikula nini ili kupata tabasamu hizo hapo juu?

Hutaki kuwafichua kwa kuwa ni rafiki zako siyo?


Je farasi wa Mungu kwa Mfuransa na wanyama wengine kwa Mchina (kama yule rafiki yetu mwenye kubwekabweka) walipona kweli leo?


Haya basi, hata kama hunijibu, ninazo tayari hisia zangu:maana yake furaha ile machoni yenu si bure kabisa!

EDNA said...

Asante sana kaka Manyanya kwa kupita hapa,Chakula tulichokula kwa dada Linda kilikuwa cha kichina,majina sikumbuki ila kilikuwa kitamu sana.

Goodman Manyanya Phiri said...

Kama nawe ulionja, vizuri! (Na asante kwa jibu)