Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 30 November 2011

CHINEDU IKEDIZES WEDDING...

Chinedu au wengi tunamfahamu kwa jina la kisanii Aki,ni miongoni mwa wachekeshashaji wa kinaigeria ambao huwa wananiacha hoi kwa vituko.
Hivi karibuni amejipatia jiko.
Ndoa ilifungwa kimila.

Mcheki hapa uone baadhi ya kazi zake.

2 comments:

Upepo Mwanana said...

Hakika hii inafurahisha.

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa kufunga pingu za maisha na karibu katika maisha ya ndoa pia nawetakieni maisha ya ndoa mema.