Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 24 January 2012

HAVE A GREAT DAY MDAU,

 Mnyalu katika pozi matata hahaaa...
 Lady in little white dress...
 Life is too short, smile while you still have teeth.
Msishangae kuona mapozi ya picha yanafanana,mniwie radhi sijui kupose and that was the best i could do.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kusema kweli mrs...umependeza kuanzia unyele, gauni, kochi/sofa na hiyo mito ya kijana na hiyo nyeusi imeoana..nimependa sana:-)

emu-three said...

Mmmm, nashindwa hata la kusema!

Swahili na Waswahili said...

Beh Segitoo sindonga sindeeeee!!!!!!!nilishasema Uliingizwa vyumba vyote mwanakwetu, umnofuuu nyehhh!!!!

SIMON KITURURU said...

Umepozi poa!


Ngojea niwaze kiume na usisome wazo langu lifuatalo Edna nililowaza baada ya kucheki mapozi:


Ama kweli wale poa wameshawahiwa DUH!

Swahili na Waswahili said...

Pole kaka wa mimi mwana wa Kitururu!!!tehtehtehte watoto wa mujini wanasema eti utajibebaaa,lakini unaweza fananisha na wadogo zake,binamu na.......