Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 18 January 2012

HAYA MAJINA YA KISWAHILI MMMMH.

Huenda ni mimi ndie nalitafsiri jina la hii shule ndivyo sivyo, maana mmmh...Au labda lina maana fulani kwa wenyeji wa mkoa wa Singida.
Hii shule sina hakika kama iko Tanzania.
Huyu nimemuelewa,majina mengi ya kijapani huwa ni ya ajabu ajabu tukiyapeleka kwenye kiswahili.Sidhani kama hizi pikipiki zingekuwa zinatengenezwa Tanzania mmliki angethubu kuzipa jina la namna hii.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ooowwwiii! Makubwa mweh! kazi kwelikweli!

SIMON KITURURU said...

Ni tafsiri tu hizi lakini!Kwa kuwa kuna majina ambayo kwa kiswahili walasio tusi lakini ukiyatafsiri kwa lugha zetu za mababu utastukia BIBi na BABU hapakaliki kisa kwa kikabila tafsiri noma!

Ila du hayo majina usipoangalia unaweza kukana hukusomea hapo!

chib said...

Ni kweli SK majina mengine kwa lugha zetu yapo poa tu, lakini ukiyaweka kiswahili, naaam. Na pia yapo ya kiswahili, kwa lugha zetu hayatamkiki.
Sasa hiyo pikipiki !!!!!