Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 23 January 2012

HAYA NDIYO MATESO TUNAYOYAPATAGA WANAWAKE WAVAA VIATU VIREFU.

Usione mdada  kapendeza na mchuchmio wake ukadhani hakuna maumivu anasikia...

Wengine huwa wanavumilia maumivu ili kuepuka aibu au kuitwa mshamba, lakini huyu akaona bwana eeeh isiwe shida navivua kabisa na mapaparazi pigeni picha vizuri,,,maumivu ninayoyapata nayajua mimi.
Hapa mwenyewe kaamua kujitembelea peku.Kusema ukweli hivi viatu virefu wanawake huwa tunavivaa kwa ajili ya urembo ila  mateso yake mmmh.

2 comments:

chib said...

ha ha haa, uremboooo, ni kaaazi kwelikweli!

SIMON KITURURU said...

Asante Mrembo wangu kwa kututobolea siri! Ila wewe ukiwa somo si siri zote za wafundwazo wadada utatupa? Natania!:-)

Ila poleni Wadada na mnapendeza aisee ila kwenye maumivu ndio siri napata!