Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 4 January 2012

KUFUMANIWA NI NOMAAAA!

Sijui hilo jengo lina urefu gani maana daah! jamaa anajitahidi kuokoa maisha yake ila inavyoelekea hali si swali maana kushoto kwake mwenye mke anataka kummaliza kabisaaa.
Hivi unapofumaniwa iwe mke au mume ni yupi wa kuadhibiwa? wewe uliyetoka nje ya ndoa au wewe uliyechukua mume/mke wa mtu?

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hapo kazi ipo..ila hapa ni wote navyoona mimi...

Swahili na Waswahili said...

Woteeeee tu Edna hakuna wa afadhali!!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

"Wote" akina nani?

Sasa mnataka kuniambia nini? Hamuaminiki nyinyi? Au sisi wananume?

Ebu elezeni kinaganaga, naomba!

Mimi sipo kabisa hapo; kwani sitaki kuchaniwa kaptura bure!

Anonymous said...

Kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe!