yam yam yam
Health fears: Scientists say even one sausage a day can raise the risk of developing pancreatic cancer by nearly 20 per cent
Eating one sausage a day or two rashers of bacon raises the risk of pancreatic cancer by a fifth, according to research.
Scientists have found that even relatively small amounts of processed meat increase the chance of developing this deadly illness.
Pancreatic cancer is called ‘the silent killer’ because it often does not produce symptoms in early stages.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Duuhh poleni sana haya ngoja niwaonyeshe na wanao na shemejio hapa,hii khabariiiii.Ubarikiwe mwanakwetu!!!!
Sasa kazi ipo...sijui watu wale nini kila chakula inakuwa hivi...haya tutafika tu.
Ndio hivyo da Yasinta,Yaani sijui tule nini maana kila kitu siku hizi kina madhala.
Da Rachael mwanakwetu, watahadharishe kabisa wanangu na Shemaji maana nahisi watakuwa wapenzi wakubwa wa sausage.
Usiogope wala kutishwa sana na wanasayansi hawa. Si ajabu ukasikia kesho wanasema vinginevyo.
Hata hivyo ni vizuri kuchukua tahadhari!
Hata kule kibarazani kwangu nimelalamikia jambo hili la wanasayansi kuwa wanatuambia kuwa karibu kila kitu ni kibaya. Sasa wanasema kwamba eti kama wewe una miaka zaidi ya 25 na unapenda kuangalia TV, basi unapunguza dakika 22 za maisha yako katika kila saa moja unayoitumia ukiangalia TV. Tukizingatia kila walisemalo bila shaka tutashindwa kuishi...
Na siku ikifika imefika tu hata uwe unaishi kwa kunywa maji pekee...
Post a Comment