Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 20 January 2012

NAWATAKIA MWISHO MWEMA WA WIKI.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia nakutakia mwisho mwema wa juma....kallt brrrrrrrrrrrrriiii:-(
Edna umetoka chicha mdada

SIMON KITURURU said...

Wiki mwisho njema kwako pia Edna!
DUH ! mwanamke miguu na MIGUU unayo Mwanawane!

EDNA said...

Yasinta asante,Simoni "mwanamke miguu na MIGUU unayo Mwanawane" hahahaa asante bwana.

Swahili na Waswahili said...

Nawe pia na shemeji, Mwanakwetu umependeza sana sana sana,Mungu alikuingiza kwenye vyumba vyooote!!

EDNA said...

Da Rachael acha vituko vyako, eti Mungu aliniingiza kwenye vyumba vyote..Hahaha mwanakwetu umenifurahisha sana na msemo wako.

emu-three said...

Mhh, kweli nina dada, shemeji yupo wapi....ngoja nianze kuhesabu ng'ombe, ....Tupo pamoja