Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 29 February 2012

CHEKA UNENEPE..HAWA WATOTO WAMENIVUNJA MBAVU ZANGU.Umeiona X wewe? HahahaaHuyu naona alimkumbuka Beyonce.
4 comments:

emu-three said...

Mimi kama mzazi nimechoka, ndio umejinyima, umetukanwa na hawa watu toka bara hindi, ili mwanao asome, halafu ndio anajibu hivyo...jamani kuna kazi kweli.
Hebu muulize list ya timu yake, uone atapata mia kwa mia...hebu muambia aandike wimbo wa bongo flava uone, atapata mia kwa mia, lakini kile ambacho ni muhimu katika maisha yake...kwake ni kero...baadaye tunajenga taifa gani, halafu mimi nilimuona jamaa alidunga zero kidato cha sita, sasa hivi ni mkurgenzi mahala fulani baada ya kupeneyzwa na baba kwenda kusoma huko majuu, sasa hapa sijuii inakuwaje...

Rachel siwa Isaac said...

Mwanakwetu kwema?nimeona kimya sana,Nawatakia kila la kheri na baraka.

EDNA said...

Emu-three ndio kizazi chetu cha sasa upuuzi unaopewa kipaumbele kuliko yaliyo muhimu,ila wanasema fainali uzeeni.

Da Rachael mwanakwetu asante sana kwa kujali,nimepata faraja sana kuona kwamba kuna watu wananijali.
Anyway mie mzima wa afya sema nimetingwa kidogo kwa sasa,ila nitakuwa naupdate pale nitakapopata nafasi.

Rachel siwa Isaac said...

Pamoja sana mwanakwetu!!nashukuru kama uko vyema