Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 21 February 2012

MZEE YUSUF bids FAREWELL PARTY after successful U.S TOUR.
Picha nimetumiwa na blog ya www.semaukweri.blogspot.com

1 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Lots of Congratulations from me, Mzee Yusuf!

And now you owe the world to move YOURSELF from strength to strength and from victory to victory.

Maybe I will put it better in our native language (Kiswahili)

Mimi nikupe jina la kwangu, Mzee: “Yusuf Dume!”


Yaani nataka kusema, Hongera sana, kwa mafanikio yako. Sijui hasaa wewe ni nani au unafanya shughuli gani, lakini kwa kuangalia picha zako mtu anaona umekipata ulichokiwania jinsi ulivyofurahi.

Nasema, Mungu akubariki zaidi isiwe tu kwenye ziara yenye mafanikio huko ugenini, lakini katika jitihada zingine zitakazodaiwa maishani mwako.